Job opportunities at oilcom Tanzania 2021 | Nafasi mpya za kazi oilcom

Filed in job updates by on 22 June 2019

oilcom jobs, nafasi za kazi sheli 2021, nafasi za kazi camel oil 2021, nafasi za kazi katika makampuni mbalimbali, nafasi za kazi camel oil 2021, Nafasi za kazi lake oil, nafasi za kazi sheli mabumbe zinapatikana hapa.

Job description

We are a growing company and, the pace of this growth is really swift. We are ranked among the leading companies in East and Central Africa and, our expansion endeavors demand us to rope in fresh, energetic, dedicated and honest employees in our company. We respect and honor talent, skills and knowledge and thus, welcome applications from all across the nation to join us. We believe in the concept of inclusive growth and encourage young minds to flourish with their imaginative and innovative ideas.

Interested candidates can contact us on the contact details mentioned below. We will review the applications and if found suitable, will get back to you.

Application type:full time
Job industry: oilcom Tanzania

Oilcom tanzania as a oil company has announced job opportunities for different occupations the jobs has been announced in the career section apply of their website

Click here to apply๐Ÿ‘‰Appy now
 Get similar and daily job post at๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰AJIRAYAKO

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Comments (29)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Unknown says:

  This comment has been removed by a blog administrator.

 2. Unknown says:

  Nahitaji nafac ya kujaza mafuta

 3. Unknown says:

  Maombi yakazi

 4. Unknown says:

  Maombi ya kazii

 5. Unknown says:

  Naitwa maria msemwa nipo iringa naomba kazi ya mafuta
  Simu no 0620645235
  Asante

 6. Unknown says:

  Naitwa omari Mohamed naomba nafc yakaz udereva 0675723171

 7. naitaji nafasi ya kujaza mafuta ni mimi baraka saidi ngoengo ambaye ni muhitimu wa kidato cha nne kwa mawasiliano namba 0693013984

 8. Unknown says:

  Mimi naitwa kuluthum Mohamed nina elimu ya kidato cha nne nipo Dar es salaam tegeta naomba kazi ya kujaza mafuta

 9. Unknown says:

  Naitwa kuluthum Mohamed nina elimu ya kidato cha nne nipo Dar es salaam tegeta naomba kazi ya kujaza mafuta namba yangu ni 0684007996

 10. Unknown says:

  Naitwa nasra yassin Nina elimu ya kidato cha nne nipo dar es salaam mabibo naomba nafasi ya kujaza mafuta,usafi ofisini nipo tayari namba yangu 0688024880

 11. Unknown says:

  Naitwa Evans nyaki miaka 34 wa Dom. naomba kazi ya udereva elimu Ni ya kidato Cha nne na daraja la licence n d,e

 12. Unknown says:

  naitwa nungano hassani nina elimu ya kidato cha nne ni mkazi wa dar es salaam naomba kazi ya kujaza mafuta oilcom ata nikipata ya kufanya usafi ofisin pia nitashukuru nipo tayari namba zangu 0673629863

 13. Unknown says:

  Mimi Gasto Haule nipo dar naomba kazi ya ufundi umeme wa magari mawasiliano 0717723002

 14. Unknown says:

  Naitwa Mbarouk Ibrahim mwenywe umri wa miaka 26,mkazi wa Dar es salaam,naomba kazi ya udereva wa magari makubwa kwenye kampuni yako maana nina uzoefu kwenye fani hiyo.Matumaini yangu ombi langu litakubaliwa

  0786094091

 15. Unknown says:

  mimi naitwa leah jacob ni umri ww miaka 25,mkazi wa dar es salaam,nilikuwa nomba kazi ya kujaza mafuta oilcom hata nikipata ya kufanya usafi ofisini pia nitashukuru sna nipo tayr 0693880985

 16. Unknown says:

  Habari naitwa Jonathan mussa natokea morogoro faniyangu udereva naomba natasi yakazi Niko tayari kwakufanyiwa usahili simu nomb 0685139546

 17. Unknown says:

  Naitwa asha bakari mina elimu ya kidato cha nne naishi dar es salaam kimara mwisho naomba kazi ya kujaza mafuta au usafi 0683423063

 18. KWA MAJINA NAITWA CATHERINE SIMON NINAISHI MSASANI DAR-ES-SALAAMU NINAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUOMBA KAZI YA KUJAZA MAFUTA AU KUFANYA USAFI WA OFISINI KWENU WAHESHIMIWA NIWATAKIE KAZI NJEMA NA SIKU NJEMA MNAWEZA KUNIJULISHA CHOCHOTE KWA KUPITIA NAMBA 0762852135 ASANTE NA MUNGU AWABARIKI

 19. Unknown says:

  Habari zenu kwa jina naitwa faudhia juma Nina miaka 24 ninaishi magomen ninaomba nafasi ya kazi katk ofisi menu namba zang ,,,,,,,no 0659707656

 20. Unknown says:

  Habari zenu kwa jina naitwa faudhia juma Nina miaka 24 ninaishi magomen ninaomba nafasi ya kazi katk ofisi menu namba zang ,,,,,,,no 0659707656

 21. Unknown says:

  habari naitwa mustapha havitishi natokea mbezi beach nilikua naitaji kazi ya kujaza mafuta kwenye oilcom tanzania .umri wangu nina miaka 23 nakusema ukwel naipenda sana hii kazi .kma nitapata nafasi kufanya kazi na nyie nitajitolea kadri ya uwezo wangu ila cheli iwe huduma zake ni nzuri .my number 0716749968

 22. Unknown says:

  Naitwa fanai bakary ninaumri wa miaka 21 ni mkazi wa dar es salaam nimuhitaji wa kazi ya huduma sheli .nikibahatika kupata nafasi nitaifanya kwa uaminifu na kujituma zaidi

 23. Unknown says:

  Naitwa fatuma Hassan ni mkazi wa dar es salaam nina miaka 20 nimuhitaji wa kazi katika sheli nikibahatika kupata kazi nitafanya kwa uaminifu na kujituma

 24. Unknown says:

  Naitwa rebeka nahitaji kazi ya kujaza mafuta

 25. Hello karibu umeweza vipi kufahamu website yetu

 26. CHARLES SAMWEL says:

  Comment

 27. Linneus says:

  Naitwa Linneus Mmari nahitaji kazi
  Nina elimu ya kidato cha sita mchepuo wa PCM

  Namba zangu 0683239808

 28. Dismas says:

  Naitwa dismas naomba nafas yakazi katika kampuni yenu

 29. Mariam swaib says:

  Naitwa mariam swaib nipo chuo diploma in logistics and transport management naomba kazi ya store keeper kwa sababu inahusiana na course yangu